Recent content by Maritanga12

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe umepata ajali ukitokea Geita

    Mungu yupo na watumishi wake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu. Lowassa atenga fedha kununua kura milioni 10

    mungu yuko upande wa mshindi hivyo huna haja ya propoganda hivi habari hizi chanzo nini
  3. M

    JamiiForums Tanzania UN yavunja ukimya Tanzania

    mmmmhhhhh
  4. M

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka: Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Freeman Mbowe

    muacha mumgu aitwe mumgu na ukumbuke mungu akiwa upande wetu amna atakae weza kuzuia , so wewe subiri 25 ,10 ongeza na sala ila kutunga mambo yasiyo mpendeza mungu uache pumzi uliyotumia kakupa mungu kumnenea mtu mema na sio masengenyo na alaaniwe amneneaye mwenzie mabaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

    napita tu ila tukumbuke neno moja mabadiliko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    haaaa msimshuhudie mwenzio uongo maana bwana hatakuhesabia haki kumbukeni mungu akiwa upande wa amchae mwenye mwili hatamtenda kitu muongo alishalaaniwa kabla ===na alaniwe amneneaye mwenzie uongo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    mungu ibariki tanzania na watu wake katiba mpya jamaniiiiiiiiiiiiiiiii
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Tanga hiki hapa

    kweli ni bora kujua ukweli kuliko kuwa muuongo kumbukakweli humuweka mtu kuwa huru , kudhamini binadamu ndio nguzo pekee kuliko kupanda jukwaani na kuhutubia hali watu wanakufaa so alichokifanya EDO ni sahihi semeni lakini ameonyesha utu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva amenena tena,kazi imebaki kwa mawakala wa vyama

    sheria mama inasemaje wadau nadhani mzee yuko sahihi ama
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

    wadau dhana hii potofu ikae kando utaifa kwanza tuige wenzetu wakenya kwenye masilai ya taifa huweka tofauti kando na kuangalia mstakhabali wa nchi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamati yamwalika Lema kukabidhi kadi za CHADEMA kwa maharusi

    sherehe huwa ni ya mwandaa ji hivyo anawajibu wakufanya kitu kinachomfurahisha na sio kinacho muhuzunisha so kwa wao wako sahii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

    mungu ibariki tanzania na watu wake tuepushe na gonjwa hili la kutokujali utaifa na kukawa wabinafsi tuige mfano wa kenya taifa kwanza mebngine baadaye
Back
Top Bottom