Recent content by Marisa k

  1. M

    Mpenzi wangu ananitukana sana!

    Sawa mpenzi nimekuelewa asante kwa ushauri.
  2. M

    Mpenzi wangu ananitukana sana!

    Nin Ningekua na kwetu ningesharudi sikunyingi tu navyokwambia sina pa kwenda niamini ni vile tu siwezi kuweka wazi kilakitu humu
  3. M

    Mpenzi wangu ananitukana sana!

    Yes ni mlevi sn yani anakunywa sn pombe. Akilewa ndo nakesha natukanwa.
  4. M

    Mpenzi wangu ananitukana sana!

    Habarini wapendwa. Nina jambo linaniumiza sana naombeni ushauri. Ninaishi na mwanaume mwaka wa pili sasa unaenda. Naombeni msinihukumu kwanini naishi bila ndoa, nilipitia changamoto kubwa sn mpaka kufikia kukosa mahali pa kuishi huko nyuma kwahiyo kimbilio likawa kuishi na mpenzi wangu. Tatizo...
Back
Top Bottom