tangu januari kuna mjomba wangu alifanya interview ya kazi pale utumishi kwa nafasi za credit officer. mpaka leo naona kimya kwani hawajaita wala kutoa kwenye web yao. au tayari mchakato umekwisha? please wadau tusaidianeni wenye info za hiyo kitu
wadau nauliza vp hao sido wameshaajiri? manake tulifanya interview ya credit officers mwezi wa pili hadi sasa naona utumishi wapo kimya. mwenye jibu please
hao jamaaa test yao ni maswali 50 kwa dk50. ni maswali simple sana tena multiple choice. hata mtu wa primary school anaweza kuyangoa. sema tu sasa ni jinsi ya kuchaguliwa.nakumbuka mwaka juz tulifanya pale DUCE zaidi ya watu 1300 na tukawa shortlisted watu 98 kwa ajili ya oral.............hapo...
kaka hao jamaa niliwahi kufanya nao hiyo test.ilikuwa mwaka juzi.watu zaidi ya 1400. tukachaguliwa watu 98 kwa ajili ya oral.............ila ni maswali ya ufahamu. yalikuwa maswali 50 dk 50. ni multiple choice tu. hakuna swali gumu........yalikuwa ya siasa, geography, hesabu nk. yani ni maswali...
unamaanisha nn? kama ni kuitwa kwenye interview hilo tayari. ilikuwa tarehe 5-8 mwezi huu pale kibaha. ila kuhusu ajira sijajua. hata mie natamani kujua cause nilipiga interview hiyo
kiongozi hawa tanroads kibaha wameita interview. mimi nitafanya ijumaa tarehe nane. na mshkaji wangu atafanya kesho tar sita. zote ni za shift incharge.ila sijajua tupo wangapi nk. kuhusu operators sijajua mkuu wangu. kama vp nikutumie namba yao ya zantel waliyotumia kunicall. jioni njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.