KAMATI Kuu ya CCM, (CC) jana ilikutana mjini Dodoma huku mpango mkakati wa kujivua gamba na uchaguzi mdogo katika jimbo la Igunga mkoani Tabora, zikiwa ni agenda moto katika kikao hicho kilichoketi chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete.Mkutano huo wa CC umefanyika kipindi ambacho chama...
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa ameiambia Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuwa inasumbuliwa na ugonjwa wa woga katika kutoa uamuzi magumu na matokeo yake mambo yake mengi hayaendi kama yalivyopangwa.Lowassa, ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza katika utawala huu wa awamu ya nne, pia akaitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.