Recent content by MarionLucy Nzali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Jamani jamani tunaenda wapi Tz hii!!!!! Tuwafiche wapi watoto wetu wa kike? Haki iko wapi kama watu tunaowaamini ndio wanageuka na kutuangamiza sisi wenyewe? Halafu tabora kuna nini jamani? Alikuwepo Ditopile akafanya madudu, kaja huyu shombeshombe nani sijui naye kafanya yake, haya huyu naye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maneno yanayokosewa sana katika matumizi

    Wanatumia wakilisha mahala pa wasilisha na kinyume chake Pia onyesha mahala pa onesha. Onesha imetokana na ona na onyesha imetokana na onya
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maneno yanayokosewa sana katika matumizi

    Hata mimi hapo kwenye aghalabu nilidhani ni mara chache
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen.
Back
Top Bottom