Recent content by Mariam hamisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hivi kuna watu wamelipwa posho walioenda mawandani???
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Sensa siku 6 ,majengo siku 6 so 12 wote wanafanya...la jamii siku 2 ndo watachaguliwa wachache na wasimamizi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Bila kuwatisha msingesoma madodoso mngefungia maandazi iyo mitihani inawafanya msome
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ukifel unabak tuition na unapewa makeup za Kutosha mpaka ufaulu[emoji23]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ebu Ingia google search asenga online kama nimeona ame share
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mkeka wa mvomero hamna aliepata??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ya mvomero morogoro atakaepata
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Lazima ujibu bila kufikiria si tayari ulikua umemeza possible[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi usaili wa Sensa ya watu na makazi 2022

    Kuna wale waingiza data baada ya sensa kuisha so zoezi litaendelea kwa wao...so swali lipo in general
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nimeulizwa pia ilo nikasema mmh!! Huu mtego au?? Nikawaambia zoezi la sensa linaanza tarehe 23/8 haifiki mwezi wa 9 akasema hujaelewa swali tunarudia wakarudia ikabid tu niseme ndiyo ila wamenichanganya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya sensa

    Nahisi typing error mimi pia nimeulizwa hivo nikawauliza semina hadi mwezi wa 9??? Wakasema ww jibu Upo tayar au hapana[emoji1787] nikasema Nipo tayar sasa semina mwez hadi wa 9 Inamaana sensa inapelekwa mbele au??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Morogoro dc tayar toka jana mvomero leo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Hello. Anahitajika mtoa dawa, hata asiye na Addo. Location-Morogoro mjini. Anicheki 0758040702 /0714293013
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama hamtaki kwenda Vijijini tupeni hizo nafasi tunaotaka kwenda

    Kwani yale machaguo si ulichagua wewe au shemeji ndo alituchagulia[emoji16]??
Back
Top Bottom