Tanzania ya Leo watu kama wewe wanahitajika sana ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii.......hongera sana Mkuu Mungu akutie nguvu katka hili la kupigania haki za wanyonge
nakumbuka kwenye interview niliulizwa ''workers ethics'' na moja a worker's ethics ni kuwa accountable for his/her actions, sasa mbona tujaona accountability kwenye hili, au inaweekana waliogopa kuaweka majina bayana walochakachua wkaamuakuadibu wote hadi wenye vigezo, uwazi ndo utaleta...
Hii nchi haitambui haki ya MTU mmoja mmoja, kwan inashindikana kuchomoa alokosea na kumweka anaestahil? wameona kuna watu wanaalama za Juu walshndwa kuwaweka kwa kua wanavigezo! Kurudia mchakato ni kutumia fedha vibaya ambazo zingeweza kufanya vitu vya maendeleo! Me nipo pamoja na wote mlopata...
wakati mwingine watu hutamani haki itendeke, ila haki haiwezi tendeka hata cku moja haki hutendeka mbinguni tu. ningeona haki imetendeka kama wangetolewa wale wachakachuzi na kuacha walopata kwa haki kasha nafasi hizo zikajazwa na watu wenye sifa stahiki. kufuta ajira ni kumnyima haki mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.