jana niliona hiyo ajari nikitokea makambako na lupelo,jamani upendo zinakimbia sana mimi naziogopa sana,ajari zinaepukika madereva kuweni makini fikirieni roho za watu pia nguvu kazi ya taifa mnavyopoteza kwa uzembe wenu,inaumiza sana na namshukuru Mungu nilifika salama.
kweli bana hoja yako inamsing sasahv watu hawawaz jambo lolote la msingi kwan akil na mawazo yote yapo kwa babu na wanoko wamesahau kaz za maendeleo wanafatilia nan kaenda kunywa kik ombe ili wamchafue kwenye jamii inayomzunguka.jamani tufikirie maisha babu yupo japo afya ni ishu ya msingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.