Haahahaaa!!
Mlangaja na wengine,
Msisahau kuwa Kitengo cha usalama ni nyeti sana ktk nchi , na nchi yetu hivi sasa iko kwenye kashfa ya ufisadi kwa viongozi wetu wa juu, hivyo mtu kama huyo/hao ni zahiri kupata nafasi katika kitengo hicho ili waweze kukitumikia kitengo hicho kwa kulipa...