Recent content by Marcus marcus

  1. M

    Mkeka wa uhamisho wa watumishi unatoka lini?

    Nadhan hbr ya kufuata wenza,ilikuwa geresha kupoza presha ya watumishi wanaotaka kuhama
  2. M

    Mfumo wa Uhamisho wa Kidigitali Serikalini uruhusu wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndo muanze kuelewa kuwa,mfumo umeanzishwa ili kubana watu wasihame,watu wengi nnaowajua,japokuwa waliweka viambatanisho vyenye sababu za msingi,mfano ugonjwa,bado wamegomewa kuhama na hao hao watu wa utumishi OR,hapa Kuna agenda ya siri ya kukandamiza watimishi
  3. M

    Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, kuhusiana na Uhamisho

    Utumishi usitegemee wakuhamishe,wale jamaa warasimu balaa,huu mfumo umekuja kukandamiza watumishi
  4. M

    Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Hakuna watu wenye wazandiki kama watumishi wa utumishi OR,kazi kubwa ni kukwamisha uhamisho,na huu mfumo umeanzishwa kuzuia watu kuhama
  5. M

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Mfumo ndo unareject,kwa maana kama hakikuwa budgeted na ikama hairuhusu,automatically inagoma make mfumo umeunganishwa na mfumo wa kiutumishi na mishahara
  6. M

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Kuna option ya ww kufuta ukaanza upya
  7. M

    DOKEZO Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Utumishi Wana mambo ya ajabu sana, pamoja na kusema kuanzia terehe 1, September 2023 uhamisho utumie mfumo,bado walipokea kisiri maombi ya uhamisho bila kupitia mfumo,kuna watu walipeleka barua zao na washapata vibali tayari,kwahiyo uozo upo pale utumishi,hili Nina uhakika nalo 100% Ushauri kwa...
  8. M

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Hapo unasubilia tu kibali Cha uhamisho,mda wowote taratibu zikikamilika unapewa Çhangamoto kubwa,utumishi wako very slow Usharudi kwa UTUMISHi Ni Bora wawe na online letter,kwamba,kwa mfumo ulivyo mpaka status ifike kwao maana yake nafasi ya kuhamia taasisi flani IPO,kwahiyo hakuna sababu ya...
  9. M

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Inabidi aanze mkuu wa section,then idara,accounting officer then, Utumishi,hiyo allowed ni kabla ya accounting officer,hebu mcheki mkuu wa idara Yako uone kama kaifowadi,ukiona kafowadi jua tu ndo mabalaa ya mfumo,mara nyingi inaweza hata kuonyesha hamna request,mfumo bado unasumbua hata kwa...
  10. M

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Utumishi ndo çhangamoto,wanaatamia vibali vya uhamisho
  11. M

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Pap Hapo wasiliana na mkuu wako wa idara ili afowafi kwa mkuu wa taasisi
  12. M

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Wao wenyewe utumishi wanakaa na maombi kwa mda mda mrefu pia,unakuta status inasoma kwao zaidi ya miezi 5 Çhangamoto waliopewa access ya kushughulikia uhamisho wako busy sana kwa ziara za ndani na nje ya nchi kwahiyo hawapati nafasi kuingia kwny mfumo kushughulikia uhamisho Baada ya mfumo huu...
Back
Top Bottom