Recent content by MAR MATARE

  1. M

    Rais Magufuli na Goliath wa Tanzania

    Ndugu yangu,huwezi kuwa intellectual and scholar kama utakuwa mvivu wa kusoma na kupenda kusikia tu yale unayoyapenda kwani hutapata cha kukosoa kama ilivyotokea sasa.Then,a person cannot lack literature artistic features but he can lack either literary aesthestics or artistic endowment.
  2. M

    Rais Magufuli na Goliath wa Tanzania

    Kweli elimu imeharibika! yaani akili yako imeshindwa kupata hata pointi moja ya kuchangia unafikiria UDC kutoka kwa wanaume wenzako! Ningetafuta cheo ningekuwa labda rais mstaafa maama sifa nilikuwa nazo na mpaka sasa ninazo.Hata hivyo maisha yangu ni super na huru.Changia mawazo yatakayosaidia...
  3. M

    Rais Magufuli na Goliath wa Tanzania

    RAIS MAGUFULI NA GOLIATHI WA TANZANIA Awali ya yote ni vizuri nikatangaza kwamba mimi si mwanachama wa chama chochote na ninayempenda sana Dr. John Magufuli kwa matendo yake na kazi zake toka akiwa Naibu Waziri mpaka alipo sasa.Wapo watu wanaoweza kudai kwamba inawezekana ninajipendekeza kwake...
Back
Top Bottom