Recent content by mapundamathias

  1. M

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Hongera sana, kila la kheri katika maboresho yako. Natumai utaongeza Bein sports ili tuweze kufurahia mpira kwa wapenzi wa mpira.
  2. M

    Je Kenya Wanaiba Mizigo Inayokuja Tz kwa Njia Ya Ebay

    Nadhani wanaiba kweli,maana hata mimi niliagiza simu aina CUBOT ilikuwa ni mwezi May mwishoni (2016)na mzigo ulikuwa na track number hivyo nilikuwa naweza ku track nakujua ulipofikia,nilivyokuwa nautrack ulionyesha umefika Nairobi (Kenya) 03 June 2016 lakini hadi leohii tarehe 19 August 2016...
Back
Top Bottom