Kuna namna mbili za kudownload video youtube... moja kwa kutumia apps (downloaders) km IDM, youtube downloader n.k na nyngne ni kwa kuedit ile link ya youtube kwny address yake pale mfano
Https:// www.youtube.com/diamond
Edit hyo linko kwa kuondoa *ube*
Itakuwa hv "https://...
Ktu cha kwanza komaa na youtube namna ya kuiunlock hyo bootloader.
Cha pili namna ya kuweka custom recovery ambayo ni kutoka TWRP
Cha tatu ni how to install hyo custom rom kutoka venom roms.
Ni hivyo tu.
Izime kabisa. Hold buttons km ifuatavyo ikiwa imezma
.home button + volume down then press power
Then itakuletea download mode hapo na utaachia hzo key zote
Then utapress volume up mara moja tu
Itakuja odin mode na ntaomba unisomee hyo product name yake.
The best rooting method iliyosalia hapo ni cf-auto root ... ikikataa hyo labda ungetutajia your exact model ya number ya hyo note 2 yako. Wakat mwingine huwa zinawekwa cooked roms ambazo haziendani na id halis ya simu husika. Mfano,original model ya simu inaweza ikawa gt-e250L lakin ndan...
3g na 4g hii ni mifumo ambayo kimsingi inahusiana na frequencies... ili iweze kufanya kazi ni lazima kuwe na kifaa (chip au ic ambayo ni maalum kwa kaz hiyo) ndani ya kifaa chako .... kwa hiyo sio suala la software update pekee ni lazma iambatane na hardware au hyo ic itakayokuwezesha kupata 4g...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.