Recent content by Mapozeo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kushiriki SHIMIWI?

    Si swala la kupunguza machungu, ni swala la kutaka uelewa zaidi maana nina imani kuna wana JF wanaoelewa A-Z yake.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kushiriki SHIMIWI?

    Nafkri wengine wataifurahia hasa wale waliopata mshiko chini ya kiwango chao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kushiriki SHIMIWI?

    Hiyo ya makario na wanaume wataonyesha nini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kushiriki SHIMIWI?

    Salaam kwenu wana JF. Kuna hili shirikisho la michezo la wizara kwa kifupi SHIMIWI ambayo mashindano ya michezo kutoka katika wizara mbalimbali za serikali yanategemea kufunguliwa rasmi hapo kesho mjini Morogoro mgeni rasmi akiwa Waziri wa habari utamaduni na michezo. Chakushangaza sana, 98% ya...
Back
Top Bottom