Recent content by mapipando

  1. mapipando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza mwanamume

    Hii ndio shida ya akili kuhamia matakoni..
  2. mapipando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

    Uko sahihi mkuu
  3. mapipando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

    Kabisa mkuu
  4. mapipando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

    Haya mambo haya yasikie tu kwa wenzio,usiombe iwe kwako, ni yanaumiza balaa. Binafsi nimekuelewa sana na nakupa pole sana. Cha msingi ni kumwomba Mungu akupitishe salama na akupatie aliye sahihi kwako.
  5. mapipando

    JamiiForums Tanzania Botswana: Baba aua watoto wake wawili kabla ya kujiua Kwa sababu ya Wivu wa Kimapenzi

    Haya mambo ya mahusiano ni magumu sana, Ni kumuomba Mungu sana kutuepusha,na hata ikitokea kuna mgogoro basi suluhisho lisiwe ni kuua ama kujiua. Imagine watoto wadogo wananyang'anywa haki ya kuishi kwa sababu ya huu ujinga.
  6. mapipando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Bora malaya wa bar ni wasafi kuliko videmu vya kitaa

    Nimekuelewa mkuu...
  7. mapipando

    JamiiForums Tanzania Hivi vidada vya saloon za kiume mnatutendesha dhambi wakati shetani hafahamu

    Habari bila picha si habari hata kidogo mkuu... Hebu ambatanisha hata kapicha basi angalau tupime uzito wa hili unalolizungumza mkuu.
  8. mapipando

    JamiiForums Tanzania Wanaoibeba Tanga ni Wadigo na wabondei

    Uzi bila picha haunogi bhana
  9. mapipando

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Nimekuelewa sana mkuu...shukrani sana.
  10. mapipando

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Dah hadi naogopa.
  11. mapipando

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Kikavu mkuu
  12. mapipando

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Baada ya kukata inachukua muda gani mtoto kupona na vipi kuhusu aina ya vyakula anavyopaswa kupewa na kutokupewa?
Back
Top Bottom