Recent content by Mapfa A

  1. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Uzito wa mzigo kwenye gari

    Angalia kwenye kadi ya gari, Gross weight na Tare weight the difference ndiyo uwezo wa gari kubeba.
  2. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania KUNYOOSHA RIMU KWA UREMBO JE HAKUNA MADHARA ??

    Sisi tunaiga kila kitu bila kujali madhara yake, Sijui ni ushamba wa magari au nini? Naonaga vijana wanatoa hadi usukani ulikuja na gari (wenye Airbags) wanaweka kiusukani cha chuma ambacho hakima Airbag. Madhara ni makubwa sana
  3. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania CIF ya gari vs calculator ya TRA

    Usihofu, We Agiza hilo gari, Ongea na Clearing agent wako kodi haitabadilika. Wao wana uzoefu na hizo kazi.
  4. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Fundi magari anaitwa Dr.Toyota anajua kweli au mbabaishaji tu?

    Jumla ilikuwa 150,000/= Nadhani Full na kioo cha mbele Tena kioo cha mbele kinaiuwa White mtu hawezi kujua kama ni tinted ioa ndani huoni
  5. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Fundi magari anaitwa Dr.Toyota anajua kweli au mbabaishaji tu?

    Dr Toyota yuko poa sana, Aliniwekea tinted mpaka Leo iko vizuri[emoji817], Mafundi wengi wa mtaani ni wezi, Akitaka kukuwekea tinted anakuwekea jioni au usiku.
  6. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Labda wachakachue Japan, Ila hapa bongo unamkamata vizuri tu, Nikipata namba ya Chasisi ya gari mfumo wa Inspection wa IAA nitaona Km ilizoingia nazo bongo, Nikifanya adjustment na matumizi yake nitajua TU
  7. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Zile siyo ofisi zao rasimi? Ni Agent wao Na ukiagizia pale Bei inakuwa juu kidogo tofauti na ukinegotiate mwenyewe Japan. Huwa ukiagizia pale bei inakuwa juu But unapata kuponi kama ya 200,000 kwa ajili ya service kwenye garage moja ya kijapani pale KAMATA. So ni bora unegotiate online mwenyewe...
  8. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Usiwe na shaka wako Vizuri, Mwanzoni mwa mwaka huu niliagiza VW CROSS POLO Ila tu changamoto yao ni kuwa Wanachelewa sana kusafirisha , Gari linaweza chukua hata miezi 2 na zaidi, Mimi lilichukua miezi miwili na nusu kufika DSM. Ila wako vizuri sana, Price ziko safi compared na mitandao mingine.
  9. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Sure, Ni bora uagize Japan gari lenye Km 300,000 kuliko kununua gari lenye Km 60,000 bongo. Madalali wengi wananunua hizo zenye km nyingi kisha wanapunguza.
  10. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Inabidi warekenishe, Nyingi sana ukisearch ni Milleage nyingi.
  11. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Kuna gari mpaka zina Km Milioni 7 na point, BF Hawako serious, kuna kitu nadhani hakiko sawa. Ingia kwenye website sort by Milleage high to low Angalia maajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

    Yaani Mjerumani adanganye Umma kuhusu Speed ? Unadhani wanaonunua haya magari ni Wajinga kama sisi? Kama hujui hii gari Ingia Youtube utapata Maarifa ya Kutosha.
  13. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kulipa faini ya barabarani

    Mkuu, Ingia Playstore download application ya GEPG kila kitu kipo hapo ni kuingiza namba ya gari tu. Parking zote za TARURA na idara zote za serikali zipo hapo.
  14. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

  15. Mapfa A

    JamiiForums Tanzania 2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Sawa mkuu Nilikosea mkuu
Back
Top Bottom