Recent content by mapessa

  1. M

    PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Baraza Kuu CHADEMA lashindwa kuendelea na mikutano yake kutokana na team Lissu kushindwa kulipia ukumbi wa mlimani city, Wajumbe wameanza kumkumbuka Mbowe mapema sana. Inasemekana wanatafuta Ukumbi wa bei rahisi kwa muda huu.
  2. M

    DOKEZO Mishahara kwa watumishi wa Umma Novemba 2024: Kwanini Serikali haikulipa mishahara kwa baadhi ya watumishi hadi leo?

    Mtakuwa na matatizo kwenye mfumo pepmis mkiambiwa mnakuwa busy acha ile kwenu humu mtapata msaada gani.
  3. M

    Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    shida ni kuwa wao ni wajuaji wa kila kitu hawashauriki.
  4. M

    Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Kuna mgombea mmoja jimbo la kibamba analalamika amekatwa sababu kwenye fomu amejaza kuwa kazi yake ni mchungaji wa kanisa. 😂😂😂
  5. M

    Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  6. M

    Stay informed mzozo wa Orxy na Oil com

    Oilcom’s arbitral tribunal support The story about the claim opposing Oilcom and Oryx is putting light on an unknown process in Tanzania, the Arbitration Tribunal. As spotted by legal expert Selemani Mwamba Bakari in the Citizen publication: Arbitration is still a relatively new concept within...
  7. M

    Mzozo kati ya Oilcom na Orxy, TRA kuna wasichokijua!

    The recent report regarding the incredible legal claim figures in the Oryx/Oilcom arbitration case has raised significant questions. According to an article in The Citizen, the final award issued by the arbitral tribunal on November 30, 2023—signed by Hon. Dr. Engera Kileo, Hon. Sophia Wambura...
  8. M

    Kinachowaponza CHADEMA ni hiki!

    Kwenye kipande hiki cha video, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila, anafichua udhaifu wa chama chake kwa jinsi walivyojaa vitisho visivyo na msingi na msimamo usio thabiti kuhusu chaguzi za Tanzania. Kigaila anatoa vitisho vya wazi, akisisitiza kwa sauti ya kiburi kwamba uchaguzi wa...
  9. M

    Hongera Rais Samia kilo 1 ya Korosho yafika shilingi 4120

    Mnada wa kwanza wa korosho wapata mafanikio tandahimba na newala: wakulima wamshukuru Rais Samia Leo Oktoba 11, 2024, historia imeandikwa katika mikoa ya kusini baada ya kufanyika mnada wa kwanza wa korosho ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika Tandahimba na Newala (TANECU). Katika mnada...
  10. M

    Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

    Kama tukishindwa kwenye kilimo wakati huu hakuna tena mwaka tutaweza kilimo kimekuwa ni ajira rasmi, Rais Samia ni mkulima halisi amewekeza vingi kwenye kilimo.
  11. M

    Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

    Mama ni mfano wa kuigwa kabisa.
  12. M

    PreGE2025 LGE2024 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

    Kaingia na boksa sero yuko pdoud ngoja kwanza nicheke
  13. M

    PreGE2025 LGE2024 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

    kituo cha polisi kuna P DIDY siku hizi, pole yake watakuwa wamempakata sana.
Back
Top Bottom