Recent content by Mapacha XL

  1. Mapacha XL

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba maeneo ya wilolesi au sabasaba/gangilonga, IRINGA bajeti 40-50k kwa miezi 4 maji na umeme viwepo.
  2. Mapacha XL

    Ombi kwa Wizara ya Afya na NACTE

    Ni kweli, tatizo ni hizo gharama za ada kwa Mwaka mwingine tena wa masomo na gharama za maisha za kila siku
  3. Mapacha XL

    Ombi kwa Wizara ya Afya na NACTE

    Duuh Am not up for debate, thanks for your comment
  4. Mapacha XL

    Ombi kwa Wizara ya Afya na NACTE

    Unahisi umeongea point? Shule ya uganga ni tofauti na shule ya siasa au sanaa.
  5. Mapacha XL

    Ombi kwa Wizara ya Afya na NACTE

    Barua tumeipata, na hii ndio imepelekea kuleta mada mezani
  6. Mapacha XL

    Ombi kwa Wizara ya Afya na NACTE

    Natambua uwepo wa watumishi wa ngazi ya juu ktk wizara ya afya na pia nacte, kuna jambo linaloendelea katika shule za maafisa matabibu (clinical officers) hasa ambao wako NTA-LEVEL 6 mwaka huu, kuna vijana ambao wana supplementary za mitihani ya NTA-LEVEL 5 matabibu hawa wanafunzi wako kwenye...
Back
Top Bottom