Recent content by manwest1

  1. manwest1

    DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Hawa hawajaenda Msumbiji kujiunga na IS hawa[emoji848][emoji848]
  2. manwest1

    Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

    Hii ndiyo nchi inayoongozwa na Mama. Tulieni tu mambo yatawekwa sawa. R. I. P JPM.
  3. manwest1

    Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Waislamu wana nini na polisi wetu?? Alianza Hamza sasa Saidi anataka kutuulia askari wetu tena. Au ndio mambo ya jihadi sijui haya !!!![emoji16][emoji16]
  4. manwest1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimehamia mkoa wa Kigoma mwezi wa pili mwaka huu. Mwanzoni umeme ulikuwa haukatiki hovyo hovyo (nadhani sababu ya ukali na utendaji wa Dr. John Pombe Magufuli. R.I.P). Toka mwanzoni mwa mwezi huu wa nane UMEME UNAKATIKA hakuna mfano. Tanesco hakuna taarifa yoyote wanayoitoa kwa uma wala...
  5. manwest1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    HIVI TANESCO KIGOMA KUNA TATIZO GANI Kwakweli ni jambo la kusikitisha vile nishati ya umeme ni kitendawili katika mkoa huu wa kigoma. Yaani tanesco kama hawajui wanafanya nini. Umeme unawaka nusu nusu mara siku nzima ni giza yaani tabu tupu. Leo tangu asubuhi hakuna umeme na mpaka sasa...
  6. manwest1

    Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

    Dahh we jamaa una akili sana. Temana nao hao fasta.
  7. manwest1

    Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

    Huyu atakuwa wakuja. Mkuu tunaoishi arusha hii hali ni ya kawaida msimu kama huu na kuna miaka hali ni baridi kuliko hii unayoita hali mbaya ya hewa. Pole sana kama wewe umezoea joto la Dar.
  8. manwest1

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Upo sahihi kabisa. Niliwahi shuhudia watoto wadogo wa darasa la nne wanaogeshwa na matron kwa kumwagiwa maji na mipira ya kunyeshea maua dahhh.
  9. manwest1

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Kwa nilivyosoma haraka haraka hapa nahisi kama ni wazazi wanaandika haya basi taifa lina hasara kubwa kwa kizazi kijacho. Shule nyingi hazina mazingira rafiki kwa watoto wa umri huo wa la 4na7 kukaabweni. Hazina mabweni yenye nafasi, watoto wanarundikwa kibao wakilala wawili wawili kitanda...
  10. manwest1

    Watalii wafurika Tanzania katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka

    Labda ulikuwa pota(mpagazi) nitaamini. Upeo wako ni mdogo sana. Kampuni gani ya utalii umefanya nayo kazi wewe?
  11. manwest1

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    Hii inaumiza sana mkuu. Hili unalijua siku ukitoka kazini.
  12. manwest1

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    Kina watu hawaelewi hii mkuu. Asante kwa kuwaelewesha mkuu. Si dhambi kuwa na ajira ila fanya kwa malengo. Kila siku jaribu kupanda ki knowledge, income na hata position na usiwe mwoga kushift ajira.
  13. manwest1

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    Nisamehe mkuu. Kunawakati napata mhemuko nikisikia mtu anamwona aliye nje ya ajira kama kapotea.
  14. manwest1

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    [emoji23][emoji23] Nitapia mkuu na nitakata kwelikweli.
Back
Top Bottom