Kurusha proceedings za Mahakama hairuhusuwi isipokua tu kama Mhusika ataomba na Hakimu husika ataruhusu, mtu yeyote anaweza kuomba na akaruhusiwa kama walivyofanya hao, sasa kosa la Mahakama ni lipi? Wakirusha live kosa, wasiporusha pia kelele, watanzania mfanyiwe nini?
Wewe una chuki Binafsi tu, roho mbaya gani? Na kwa nini usimrudishie chenji yake? Kama sio wizi ni nini? Mtu kukudai chenji yake ndo ana roho mbaya??? Acha chuki tafta hela Mkuu
Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati.
Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana...
Mtendaji Mzuri ni yule mwenye wivu na watu wake aliohangaika kuwajenga kiuwezo, hatokubali kuwaachia kirahisi, Jaji Mkuu amedhihirisha kuwa ni Mtendaji Mzuri katika Mhimili anaouiongoza, amewakumbusha Watendaji wa Taasisi nyingine wanaowataka Mahakimu kuiga mfano mzuri wa Mahakama kuwaandaa na...
Alichokimaanisha Jaji Mkuu ni kwamba, Mahakama inatumia gharama kubwa kuajiri, kuwapika na kuwajengea Mahakimu wake uwezo hivyo, Taasisi nyingine yenye kuwataka nayo iajiri wanasheria, iwajenge na uliwapike ili wawe kama Mahakimu wa Mahakama wenye weledi na uwezo Mkubwa katika Tasnia ya Sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.