Recent content by manutd geofy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Nchi hii inasikitisha sana kwani ndjo nchi pekee duniani wazawa wanapotaka kunyanyuka wanapigwa vita na wafanyabiashara wa kidosii. Maxmalipo kwa muda mrefu wamejuwepi katika mapambano ya mida mrefu na kampuni ya selcom inayomilikiwa na wahindi na watanzania wakitumika kama.vidampa huku baadhi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

    Mimi kama mzalendo nimesoma habari ya kinembee kuhusu Maxcom Africa kwa kutumia akili ya kawaida inaonekana wazi mhusika ni mmoja wa wafu waliozoea na muhalalisha kuwa uchumi wa nchi hii unatakiwa kushimwa na wahindi na inapoonekana kuna kampuni ya watanzania inaenda vizuri na kpprove uwezo wao...
Back
Top Bottom