Recent content by Manu 255

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, jamii inawezaje kuyakabili magonjwa ya afya ya akili? ilinde afya yako ya akili, ni tunu yako

    Mkuu Mimi Nina tatizo la Hofu iliyopitiliza yaani anxiety disorder sasa tunayaepuka vipi haya matatizo ya magonjwa ya afya ya akili . Ukinijibu hapa ni kwa faida ya wengine pia
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababisha uwezekano mkubwa wa kuachana

    NNa Nakazia namba 4 ... mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

    duh ...... mapito ya dunia
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Kumbe Sawa mkuu ......... mbali na tizi unajua mbinu gani ingine ya kucheza na saikolojia ili nijiamini vizuri Upo sahihi mkuu.... Lakini kwa upande wangu Sio kwa sababu hizo ni kwa sababu nimekula kwa macho miaka mingi so imeniathiri kisaikolojia
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Kumbe Sawa mkuu ......... mbali na tizi unajua mbinu gani ingine ya kucheza na saikolojia ili nijiamini vizuri mkuu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Duuuh ....!!! Mkuu hii yako ni hatareee
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Aisee mkuu kwa stress iliyotokea nimeacha punyeto raSmi
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Poa mkuu nitajaribu kucheki wale dada zetu wale
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Kweli mkuu nitazingatia hayo yote uliosema ... ila umeni -suprise Kwene paragraph ya mwisho .....yaaani umeongea mulemule kama unanijua vile yaani ndio hivyohivyo halafu kinachofuata ni kupanic
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Aisee hii story imenijenga sana ...Tena sana ...lazima nitaifanyia mazoezi Asante mkuu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Kweli mkuu .. na mbona ni ushauri mzuri TU huo una ubaya gani kwani
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Mkuu apo kwenye saikolojia apo ndio ungeongezea nyama Kidogo maana ndio pananiangusha naogopa kupita kiasi Hadi kutetemeka
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Ok sawa mkuu
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Aisee kumbe ngono ni kitu complex mkuu ... ila Mimi nachofikiri Hofu niliyonayo imezidi kidogo nipe technique niipunguze
Back
Top Bottom