Recent content by mantiki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kushuka kwa thamani ya shillingi, mfumuko wa bei na siasa zetu!

    Ndugu wanajukwa hali ya maisha ya watanzania inazidi kuzorota kila kukicha na hili tunaliona wazi kwenye nyanja nzima ya uchumi wetu. Mfumuko wa bei unazidi kupanda kila kukicha watanzania wahali ya chini tunazidi kutaabika na mfumuko huu wa bei ambao sasa upo 19.8% na inaonesaka Serikali yetu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

    nimevutika sana na ushirikiano waliouonyesha viongozi wote wa vyamavya siasa na hii ni moja kati ya ishara kuwa Regina alikuwa ni kiungo muhimu kwa jamii. R.I.P Regina
Back
Top Bottom