Kwa hali hii ya sasa si bora nipige mtu mimba alafu nichukue mtoto tu kuliko kuoa @nikijisia hamu ya kupiga pipe nzame kwa Malaya mamaeee stress tupu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Demu mmoja wakati nipo o level nilitokea kumpenda mm nilikuwa sayansi yeye biashara nilikuwa nikimuona na duwaa tu kumuangalia Sema sikuweza kumueleza hisia zang kwake @nilikuwa mtu wa misuli Sana so nilikuwa na ogopa kuingizia mapenzi na masomo ila dah Huyu nilimuelewa mno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.