Recent content by Manori

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchepuko unataka nimuache wife

    Baki njia kuu, Mungu kakupa mke mwema, hata kama hana mshahara ni bora zaid ya mchepuko, jpange 2 utafute kwa jasho lako. Wanaish watu kwa lak 3 tena wana family zaid yako ucjfarj kwakupewa hyo m1, itakuletea matatzo bure Achana nae mke wa m2 ni sumu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchepuko unataka nimuache wife

Back
Top Bottom