Recent content by Manmura

  1. M

    Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Hiyo ya utalii na dhahabu zimekaa poa ongezea na mazao ambayo nchi inaweza kuyauza nje ni vema serikal ikaongeza nguvu kusapot wazawa mfano ngozi,pemba korosho nk,kuhusu madini serikali kupitia bunge watunge sheria rasilimali zote za nchi ziuzwe nchini wanunuzi waje wanunulie uku sio unachimba...
  2. M

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Mkuu Forrest Gump naomba unitajie baadhi ya machimbo bora kabisa kwa mwanza na dar kwa ajili ya kumea mzigo wa kwenda kuuza reja reja dukan kwa ambao ndo Kwanza tunaanza
  3. M

    GE2020 Waitara, Nyamhanga waigawa Tarime kwa maslahi yao binafsi kisiasa

    Mleta maada kwenye hii taarifa yako Kuna Mambo umeyaandika ukihisi una hoja nzito ila logically sio Unaposema inchugu usigawanyike kisa misingi ya kimila ya wazee hakuna logic yyt Apo labda tu nikukumbushe 1. kata hiyo ya binagi tarafa ya inchage (magoma,Nyasaricho na nyamwigura) unayoiongelea...
  4. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hoja yako ni nzuri ila kwenye kutumia neno mnyonge mm sikubaliani na wewe kwa sababu rais wetu hajawahi kuwa mnyonge ni mtu jasir na mwenye udhubut siku zote
  5. M

    Waziri Kangi Lugola aagiza Askari aliyeshindwa kujibu swali lake apelekwe rumande! Baada ya muda aagiza aachiwe huru

    Hilo ni tatizo kwa askari wetu wengi hawajui majukumu yao wamekaa tu wanasubiri rushwa ndogo ndogo ila weledi wa kazi hawana tena lugola asiishie kwa arusha tu mm ningemshauri atengeneze intelligence yake vizuri kisho aone anavyonasa wengi
  6. M

    Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

    Hawa watu walichokifanya kwa mzee wa watu sio kitu kizuri kabisa najaribu kuimagine mzee kama peter zakaria anakumbana na sekeseke LA vijana watano tena wenye mafunzo ya kijeshi pamoja na silaha kwa na uzee ule kwa kweli sio fair ata kidogo tuweni na huruma na damu za watu tuwe na moyo wa...
  7. M

    Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri: Waziri Mwigulu atemwa, Lugola aula. Mbarawa ahamishwa

    Hiyo wizara ilikosa ufanisi sioni kama mkuu kakosea kufanya uteuzi upya ukizingatia rushwa ilivyokisiri miongoni mwa idara nyingi ambazo zipo chini ya hiyo wizara tulitegemea mwigulu aendane na kasi ya mweshimiwa ila kwang mm naona kama alifeli binafsi nampongeza mkuu kwa kuliona hilo japo...
  8. M

    CHADEMA Kilimanjaro yateua mgombea Jimbo la Siha huku wakisubiri baraka za Kamati Kuu

    kususia kumeisha? au kuna majimbo mengine ni muhimu mengine sio muhimu kusimamisha?
  9. M

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Zahara Mustafa · Secretary at TANESCO Napenda Rais wetu hana kinyongo na mtu na Lowassa pia mtu mzuri sana vinyongo havitakiwi kabisa na kumpa pongezi anayefanya vizuri ni sahihi kabisa sasa kwa moyo huo Lowassa rudi kwenye chama chako cha CCM kwa moyo mmoja rudi rudi..... Like · Reply · 6 hrs...
  10. M

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    #HAPAKAZITU. Like · Reply · 1 hr Joel Rumanyika · ASSISTANT LECTUTER(ICT DEPT) at College of Business Education (CBE) Mheshimiwa Lema. Siasa si uadui,jifunze kusamehe na kusahau yaliyopita.Hakuna aliyemkamilifu,ila "MUNGU TU".Badili mtazamo kidogo,wala si maanishi ujiunge na chama tawala bali...
  11. M

    Tuhuma kwa wabunge wa CCM ni kubwa sana. Magufuli ni mwenyekiti wa CCM rushwa imetolewa makao makuu

    Acheni longo longo zenu Tulishawashtukia kama ushaidi upon uwekeni humu tuuone sio lazima muupeleke kwa tulia akson jaribuni kulogic mambo kabla ya kuyashabikia huu ulofa mwingine ni wakujitakia ivi hata hukumbuki na arusha mbowe alidai ivo ivo kuwa ana ushaidi na mpaka Leo hakuutoa iweje akae...
  12. M

    Ole sendeka na UVCCM tunawasubiri mjibu tuhuma za wabunge wa CCM kuhongwa miliioni 10

    Mwambieni mbowe atupe kwanza ushahidi wa mauaji arusha mjini kweny mkutano wa chadema asiwe anakimbilia kusema iundwe tume ya kimahakama na kama hana aache ulofa akae atulue magufuli ajenge nchi
  13. M

    Tuhuma kwa wabunge wa CCM ni kubwa sana. Magufuli ni mwenyekiti wa CCM rushwa imetolewa makao makuu

    Aliyesema wapinzan ni malofa ama kweli hakukosea ivi kweli mbowe na lisu wawe na ushahid mpaka muda huu ungekuwa bado haujasambazwa mitandaon kuverify wanachokisema? Is ni sound kama zile zile za mauwaji kule arusha mpaka Leo hii mbowe na genge lake hawajawahi kutoa ushaidi wa video waliodai...
  14. M

    Haya ndio maneno ya kichochezi anayodaiwa kutoa Tundu Lissu baada ya kutoka mahakamani

    TUNDULISU HAJIELEWI NI TUMBO MBELE MAENDELEO BAADAE ANAHITAJI WA KUMTUMBUA LILE TUMBO
  15. M

    Hongera rais Magufuli kwa kupeleka Maendeleo mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

    kati ya watu ambao hawajisomi na huyu mleta mada yumo
Back
Top Bottom