Recent content by mankush

  1. mankush

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafuasi wa sentensi za Lissu, kitu kikisemwa na yeye ni kweli

    Cjaipenda hii lugha uliyotumia kuhuzisha dini ya watu katika mambo yasiyo ya kidini,cjaona kama huyu uliemquote kachangia kidini!Nakuomba uombe radhi kwa kauli hii ulyosema eti"siasa za misikitini cjui waislam wanahongwa maghorofa na kubebewa manoti"ni kauli mbaya Sent using Jamii Forums mobile...
  2. mankush

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafuasi wa sentensi za Lissu, kitu kikisemwa na yeye ni kweli

    Cjaipenda hii lugha uliyotumia kuhuzisha dini ya watu katika mambo yasiyo ya kidini,cjaona kama huyu uliemquote kachangia kidini!Nakuomba uombe radhi kwa kauli hii ulyosema eti"siasa za misikitini cjui waislam wanahongwa maghorofa na kubebewa manoti"ni kauli mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mankush

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafuasi wa sentensi za Lissu, kitu kikisemwa na yeye ni kweli

    Nyingine hii!tukana au sifia kutegemeana na kambi yako maana hata ukisema uchangie utachangia nn hapa?ebu jisikilize kwanza"jirani yangu kang'oa camera baada mm kupigwa risasi ulikwepo au ulikuwa na mkataba na jirani yako kuhusu Mali zake?"sasa mtu mwenye kusema maneno kama haya katika karne hii...
  4. mankush

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafuasi wa sentensi za Lissu, kitu kikisemwa na yeye ni kweli

    Kuna comments zingine ukisoma humu unatakiwa hata usifikir,ufanye moja kati ya haya:umtukane mwandishi au umsifie kutegemea uelewa wako juu ya hoja yake,mfano hili bandiko utafikir nn?wewe jiangalie tu ni kambi gani fanya maamuzi,aidha tukana au sifia upite Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mankush

    JamiiForums Tanzania What is not known about Somalia

    *THE SOMALI EMPIRE IN 1000 worldwide Last week, my colleagues and I were traveling from Nakuru to Nairobi; and, along the way, we talked about the quarrel between Kenya and Somalia over their Indian Ocean border. My colleagues, just like many Kenyans, do not know much about Somalia. They...
  6. mankush

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu On CNN & Aljazeera: A Good Idea turned into a Political Correct Nonsense( Siasa nzuri ya Kipuuzi)

    Akili yako ikiwa ina moshi kama ya huyu mleta uzi utadhani kaongea point but in reality ni kama harufu ya choo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mankush

    JamiiForums Tanzania Who is really the writer of the book of Deuteronomy?

    (Deuteronomy 34 ) ------------ 5 5 So Moses the servant of the LORD died there in the land of Moab, according to the word of the LORD. 6 And he buried him in a valley in the land of Moab, over against Bethpeor: but no man knoweth of his sepulchre unto this day. 7 And Moses was an hundred and...
  8. mankush

    JamiiForums Tanzania Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

    Umenena mkuu
  9. mankush

    JamiiForums Tanzania Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

    Maneno mazito haya,lakini cha ajabu sisi wenyeji wa maeneo haya bado hatujaamuka,totaimoka pare pamura peito tongekong'ainwa tutune omonto omosacha sacha kama heche atuitanele,teh teh teh teh
  10. mankush

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Mm sisemi kitu katika uchochezi huu,nabaki nawasikiliza kisha nasema hiiiiiiiiiiii!halafu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Back
Top Bottom