udaktari hauna kufoj kaka na ukifoji tu ipo siku utakamatwa.kinacho wasumbua afya kufanya vibaya ni kutokufuata ethicks za kazi badala yake wanafanya mazoea
mbona wenzetu wa mbele wanaweza hii elimu ya kuishia darasa la nane na then highschool na ukitoka hapo unaweza kwenda diploma na hao hao ndo wanakuja kutuibia nchi yetu wakidai wanawekeza.sasa wao wameweza sisi tumekosa nn itushinde kwa ujumla hii wizara inaitaji mabadiliko makubwa na wawe...
sijui hata nitumie lugha gani ni kwamba hatupewi maarifa yakutosha so inatulazimu kutumia ubongo na ujanja tuliozaliwa nao ili tuishi acha hivyo vijiti ulivyosema karatasi zenyewe zatoka nje wakati jiji ni chafu kupindukia hizo taka kavu tu zingetosha kuwa processed na kutengeneza karatazi...
kama ni hivyo basi kusiwe na o'level mana hizo ulizotaja ni highschool kama sijakosea. tujue moja mtoto akitoka elementary school grade 1 to 8 kama mama zetu walivyosoma then aende high school 4ysrs kwa masomo atakayoyachagua kusiwe na kusoma yote f1 then f2 uchague tunapotezeana muda tu
hii tabia ya kugush utaizuia huko mashuleni na vyuoni na kwenye kuomba ajira utaizuiaje system bado ni mbovu kwani kuna mtu namfahamu anatumia cheti cha rafiki yake aliyeko china kwenye ajira ameombea kazi na kapata na anatumia jina lake labda ingewezekana hizo sehemu tunazoomba ajira wawe na...
watoto wengine wanapewa maadili mazuri sana hakuna mzazi anayependa mwanae aporomoke kimaadili au kielimu inategemea na anapokwenda shule anapata motivation kiasi gani, ukaribu wake na mwalimu ukoje? ,kama akifika shule ni stress, nyumbani stress , unategemea ataelekea wapi walimu wetu hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.