Tena hawa polisi wanaofuatilia simu zilizoibiwa kwa kuzitrack huwa wanashirikiana na wezi wa simu anaitrack anampata mwizi na simu anaichukua mwizi anasukwasukwa anaachiwa anaacha simu wanaiuza tena. Kuna mmoja yuko kituo cha polisi National hapa Mwanza jina nalifadhi ndiyo kazi yake.
Na...
Mimi niliibiwa simu tena za pesa nyingi polisi wakawakamata wezi kesi ikaenda mahakamani polisi wakasaidiana na wezi hukumu ikatoka ya kuninyima haki maana simu ilitrackiwa mwizi akakubali kuwa aliitumia ila aliinunua kwenye maduka ya simu used naye amemwuzia mtu wa Rwanda. Nikaishia kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.