Recent content by Manjox

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hai: Polisi wazingira Ofisi za CHADEMA unapofanyika Mkutano wa ndani wa chama unaoongozwa na Mbowe

    Shetani anamuendesha JPM, ipo siku atamwacha pekeyake wakati atakapo jisahau kuwa anaulinzi wake. Shetani hajawahi kuwa mwema kwa mwanafami Abadan.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Washtakiwa 467 wa Uhujumu Uchumi wapeleka maombi kwa DPP wakitaka kukiri makosa yao na kurejesha takribani Tsh. Bilioni 107

    Usanii kama usanii mwingine wa kuomba misamaha akina Nape na Makamba tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu Hotuba ya Kabudi UN,Ukweli taswira ya Tanzania imeharibika

    Watanzania tumeliwa kutawaliwa na huyu mtu. Heshima yetu imeshika sana kama tulivyo shuka kimapato wananchi. Sababu ni huyu tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa madini: Hakuna mtu aliyeahidi NOAH tuache siasa kwenye rasilimali za taifa, Ciza aiboresha Clouds 360

    Mmeanza kukataa maijiko yenu muliyokuwa mnaropoka?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM: Tundu Lissu kuhamia ACT- Wazalendo

    JPM ndo mwanasiasa? Huyu si katili tu anaependa kutia hofu wananchi anao watawala kwa nguvu ili asikosolewe?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM: Tundu Lissu kuhamia ACT- Wazalendo

    Sio kwamba ni muhuni kwasababu anaisema serikali au JPM. Kigezo kikiwa hicho Mimi sikubaliani. JPM lazima asemwe anatuharobia nchi sana tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzungumzia jimbo la Lissu sio kuingilia Mahakama?

    Mahakama, bunge na vyombo vingine vya dola vimejazwa woga kwa kutishwa hata visiweze kufanya kazi bila maagizo yake. Ndo mana wote ni wakatili dhidi ya wale wote wasio kibaliana na Bwana mkubwa. Mauaji kwa anao wachukia ni sera ya nchi hivi sasa. Tusisahau haya akimaliza muda wake shime watanzania.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Singida Mashariki laweza kupata maendeleo kuliko wakati wowote

    Damu za watu zonamlevya sasa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Singida Mashariki laweza kupata maendeleo kuliko wakati wowote

    Maneno haya MTU aside shirikiana na shetani hawezi kuyatamka. Amakweli nimejua kwa hakika huyu ni wakala was kuzimu. Maana wauwaji sehemu yao ni kuzimu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Singida Mashariki laweza kupata maendeleo kuliko wakati wowote

    Jamani huyu hatakama atamaliza muda wake, shime Watanzania tusimuache apumuzike kama hawa wenziwe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Singida Mashariki laweza kupata maendeleo kuliko wakati wowote

    Aliye husika amejionyesha adharani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Hana mudamrefu naye. Hawana uwezo wa kujipatia fedha nje ya madaraka ya nchi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    Loh! Kushikiwa bastola inabidi ajisahaulishe. Nje ya system anaogopa kufa njaa. Watu kama hawa kamwe hawawezi kuwa chama pinzani kwani hawawezi kujitegemea.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Makamba Jr na Ngeleja kuomba msamaha ni kuwasaliti Nape na Kinana?

    Hivi unaweza kuamini leo Hivi inaweza kuamini leo Nape asione tatizo lolote pale aliposhikiwa bastola? Ujie ameshondwa kuishi bila hisani ya uteuzi. Wanamfuata JPM kwasababu ya teuzi sio kwamba wanaona anayo fanya ni mazuri ila njaa. Hii inamaana asiku akitoka madarakani ajue kuwa hawatamlamba...
Back
Top Bottom