Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justine amesema benki hiyo imejipanga kuhakikisha uzalishaji wa maziwa unaongezeka hapa nchini ili kutoa fursa kwa wazalishaji wadogo kuchangia ukuaji wa sekta hiyo. Justine amesema hayo wakati akizungumza na Meneja...
Mtaalamu wa Kilimo Biashara mkoani Mbeya, Robart Mwaluseke amewataka wakulima kuacha mazoea ya kuhifadhi mazao wakisubiri bei ipande ana badala yake amewashauri kuuza kwa bei yoyote wanayoona inawaletea faida. Mwaluseke ametoa wito huo katika mkutano wa wadau wa kilimo wilayani Mbarali na kusema...
Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.