Hodi humu ndani wanajamvi natumai mko poa!
Ebwana kuna binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka na miezi miwili hivi mpaka sasa.
Katika ndani ya huu muda nimeachana nae kama mara 8 hivi na kurudiana(nikimuacha ananirudisha,akiniacha namrudisha) na nimewahi kusex nae mara1 tu japo nilitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.