Recent content by mangomango2006

  1. M

    NSSF yashinda tena 77

    NSSF wanatumia fedha nyingi sana kuhonga ili waonekane ni bora lakini sisi wanachama wa NSSF tunajua kuwa huduma zinazotolewa huko ni mauzauza. Ushindi huu wameupata kwa lipi wakati huduma zao ni uchwara mtupu. Tusidanganyane hapa.
  2. M

    Tatizo la PPF sio ufisadi wala uzinzi bali kugombea madaraka na kuchafuana

    Ras Jah unaonekana una uchungu kweli, au na wewe umebonyezwa halafu ukaachwa ? Wanawake wa PPF mnajidhalilisha kweli watu watatu wote mnagongwa na mtu mmoja. Hebu acheni kutuletea taarifa zenu za Manzese huko, hapa tujadili mambo ya maana tu
  3. M

    Jenerali Sarakikya: Utajiri wa watumishi serikalini unatisha!

    Bora ajipumzike huyo, hatuna cha kumsaidia
Back
Top Bottom