Recent content by Mangisandy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

    Rekebisha heading, isomeke ‘Wazo la Kipumbavu…….’
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

    Yule babako mwanakwendazake alifanya huo usambazaji wa maji?!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Hata Wakenya ni watu, tuache kuwazia mahindi yetu, tukulishe bure Wewe dogii kwa sababu gani?!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Wewe kama ni mwalimu, unalipwa mshahara, husisha akili yako kidogo tu kujua kwamba, mshahra wa mkulima na mazao yake! Kama mkulima asipo uza mazao yake kwa ‘bei ghali’, na kwa Hali hii ya uchumi, atakuwa na njaa, kwa hiyo tumia akili zaidi, ya hiyo, mwalimu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

    Kauli yako na nyingine nyingi kuhusu CHADEMA ni very cheap, lakini kama ingekua hata na chembe kidogo ya ukweli, basi ccm na utawala wote wa serikali si ungekuwa takataka kabisa!?! Kama serikali yenye majeshi, yaliyo weza kumtoa Idd Amini kwenye nchi yake, haiwezi kulinda raia wake, watu wazito...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Tunajitaidi sana kwa akili zetu, lakini mwisho utagundua uhai wetu upo mikononi mwa Mungu tu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Ila Cecilia, ana kama miaka 14-15, ni binti mdogo na hahusiki kabisa na Hayo mambo! Ngoja siku Mungu akikupa mtoto utaelewa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto alikuwa anasoma St. Mary’s Mazinde Juu, Lushoto. Alikua shule muda wote, form two walifunga shule tarehe 19 August, kwa hiyo alikuwa haja kaa nyumbani hata wiki moja! Wenzake wana rudi shuleni weekend hii! So sad, pole sana Mwambe, mtoto wangu alikuwa anasoma na Cecilia, amesema ni binti...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Sasa naumizwa na nini hapo, kwa mfano?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ni uongo, unasema uongo Wewe baiskeli ya miti! Zito amekudanganya Wewe na wenzako kwamba mkazikwe pembeni ya kaburi la mwendazake, hilo haliwezekani! Kufa uzikwe kwenu, na kama unafikiri utamkuta babaako ndo malaika mkuu, kwenye jamuhuri ya jehanamu, kuna sapuraizi inakusubiri huko, sukumagang...
  11. M

    JamiiForums Tanzania AJABU: Vyombo vya Habari Tanzania na Watanzania tunavyofuatilia uchaguzi Kenya, tuna maslahi gani haswa?

    Mpuuzi ni Wewe, unaye fikiria kila kitu lazima kiwe na masilahi!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupata choo kigumu

    Kula mapapai na maparachichi!
Back
Top Bottom