Recent content by Mangi wa Shy

  1. M

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, shughulikieni majipu kwenye Mhimili wenu

    Ndiyo nchi yetu tuliyopewa na Mungu wetu. Hatutaikatia tamaa maadamu kuna uwezekano wa kuibadilisha, hata kama madiliko ni ya mtu mmoja baada ya mwingine.
  2. M

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, shughulikieni majipu kwenye Mhimili wenu

    Ni shida sana, mkuu! Hakika ni aibu kubwa kwa chombo cha utoaji haki kuwa ndicho kikwazo kikubwa cha upatikanaji wa haki.
  3. M

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, shughulikieni majipu kwenye Mhimili wenu

    WanaJF, Uzi huu ni mahsusi kwa kutoa dukuduku na ushauri juu ya utendaji wa Mhimili wa Mahakama. Napenda niamini kwamba Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, wao wenyewe au kwa kupitia wasaidizi wao, watasoma haya nitakayoandika na ambayo yataandikwa na wengine kwenye uzi huu. Kwa wale ambao, kwa sababu...
Back
Top Bottom