Acha kelele zako hapa. Una uhakika gani kama kada yote ya CCM haina passport za Tanzania na za nchi za nje? Watoto wao ndiyo usiseme. Wewe unafikiri Rais wako Samia hana Passport ya Oman? Je, watoto wake umewafawanyia uchunguzi?
Sasa kama waziri wa nchi za nje AD Mulamula watoto wake wapo...
Asante sana Mkuu Kalamu. Nimekuelewa vizuri sana. Tena wewe umeenda straight kwenye kiini cha matatizo bila kupepesa macho na kutoa mwongozo nani wa kumlaumu.
Kwa haya nasema uko vizuri ndungu yangu. Umenipa mwangaza mkubwa na nimeupenda sana mchango.
Mungu akubariki sana na aibariki nchi...
[emoji3][emoji3][emoji3] Asante sana Mkuu Kalamu kwa mchango wako. Mungu akubariki sana! [emoji120]
Mkuu Kalamu ndungu yangu wewe ndiye mtu uliye nishutumu mimi kwa kauli yako ya kusema kuwa, na kunukuu;
Umeendelea kusema, ninakunukuu;
Ndugu yangu Kalamu naomba uelewe kitu kimoja, mimi...
Naomba nikuulize baadhi ya maswali kidogo; Je unajua maisha ya watoto na vijukuu vyako yatakuwaje hapo baadae, kama nchi yako hivi sasa inauzwa mbele yako?
Unategemea maisha ya wanao na wajukuu zako kuwa mazuri kama yako, wakati wahusika hivi sasa wanashindwa kuwawekea misingi ya maisha bora na...
Pia akirudi mwambieni Rais wetu kuwa waziri wake wa Ujenzi na Uchukuzi Professor Mbalawa hatufai tena.
Mambo aliyoyatoa Bungeni ni haibu kwa waziri msomi kama yeye. Alitakiwa ajiuzuru mara moja.
Yaani Professor mzima ameshindwa kutoa maelezo juu ya mwendelezo wa mkataba ambao...
Wasamehe sana. Serikali yenyewe ndiyo hiyo hiwajali wananchi wake. Unategemea wao watakuwa na mwamko gani?
Sasa kama Rais mwenyewe amewapa mabogus kama akina Nape, Makamba, Prof. Mbalawa na akina Ridhiwani Kikwete madaraka makubwa ya utendaji na wao hawaperform vizuri kwa kukosa visions na...
Wakiamua nini? Kwani sisi tuna bifu nao? Wao ndiyo watu wenye matatizo na sisi. Hawa watu wanatuogopa sisi ile kishenzi. Wanajua kuwa sisi tukishika ukanda hawata tupata tena. Subirini Generation zijazo. Mtashuhudia nyie wenyewe.
Sisi wengine kusikitika hatuta shuhudia hayo mambo yatakapo tokea.
Wewe unafikiri Jembe angeenda huko? Thubutuu! Jembe hakuwa mtu wa kuwatukuza Half Apes People. Maisha yake yalikuwa dedicated kwa watanzania wenzake. Alijua vitu watu wanavyo vihangaikia huko majuu, ndiyo masna alijitahidi nasi nasi tuwe navyo hapahapa. Kwa kiasi kikubwa cha maisha yake kama...
Na hili tukio la kutaka kumwuua Rais wa Madagaskar unalizingumziaje?
Unajua kwa nini walitaka kumwuua huyo Rais?
Kijana jaribu kusikiliza watu wanao jua mambo yanayo tokea duniani. Wafaransa ndiyo wamekuwa wakifanya hivyo mda wote kuwa-eliminate maRais wa Afrika ambao wanachukua maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.