Kwa ujumla mwajili anapaswa afate taratibu zote kama zilivyoainishwa katika sheria ya Employment and labour ralation Act s.38 na mwajiliwa atalipwa kwa kindi chote kile kilichokua kimesalia katika mkataba wake
N.B hii ni kwa mfanyakazi mwenye mkataba aina za mikataba zinapatikana S.14
Sent from...
Ni kweli kabisa idadi kubwa ya mawakili ipo hapa jijini Dar es salaam na hivyo kufanya idadi kubwa ya wananchi kukosa msaada wa kisheria.Ili kupata msaada wa kisheria inawalazimu watumie gharama nyingi sana kuwapata mawakili ikiwemo hii ya usafirishaji kutoka Dar kwenda sehemu nyingine za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.