Recent content by Mandela90

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa wakristo wote humu karibuni kujibu

    1. Hakuna ushahidi katika maandiko juu ya rangi za ngozi za wahusika. Kwa sababu rangi ya ngozi haikuwa na umuhimu wakati huo kutajwa kuliko mambo yenyewe ya msingi kama ujumbe wa neno la Mungu. Tofauti ya rangi imepewa sauti katika kizazi hiki kilichopotoka. Kwa hiyo hata kama kulikuwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Kuna kichwa kinaitwa Felician Makarios Phos ni hatari sana. Shule yake lazima uwe na akili timamu ndio utaelewa. Bibilia inawekwa wazi kama juanla mchana, hakuna mafumbo wala giza. I highly recommend this man. Ana channel yako telegram inaitwa Kainosmedia Pitia hapo utanishukuru sana baadae
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Katika hao wote mwalimu wako ni nani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

    Hata huku ni chakula, labda kwenu tu ndo vitafunwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    ‘Kuishi milele kutachosha haraka’ at the same time unapambana kila siku kufanya mazoezi, kula vizuri, ili uishi muda mrefu. You are a joke my friend. Nadhani ugumu wa maisha ulionao pengine unakufanya uwe na mtazamo huo kuona kama maisha ya milele yanachosha. Jaribu kuhojiana na wanaokula...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    [emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa una unga mwingi kinoma. Kwamba mnara wa babeli walitaka kwenda kumwona Mungu mawinguni[emoji23][emoji23] Our theology are worldly apart. Kadiri unavozidi kujibu unazidi kuexpose your illiteracy in God’s doctrine Kwa ufupi hawakutaka kujenga kwenda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Wewe ndo unajua leo kuna dying cells and reborn cells. Hayo ni matokeo ya uharibifu wa dhambi. Lakini haikuwa hivo tangu mwanzo. Mathayo 19:8
  8. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Basi kumbe basi nyoka alizungumza na Eva live live[emoji1787][emoji1787] Tafuta mwalimu bro
  9. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Unazunguka tena kwenye maswali yale yale ambayo nimeshakujibu. Roho na rohoni nimeshakuelezea vizuri kabisa. Bro if the shoe fits, wear it. Huwezi shindana na facts Kweli zitabaki kuwa kweli Ninao uhakika kwamba kadamnasi yake ilikuwa haiwezi kuelewa kwa sababu Mwandishi mara nyingi katika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Mbona nimeshajibu maswali yako. Check tena replies zangu. Then uje tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi LUKU imepanda?

    Boss huoni kwamba hapo wamekukata 1000 ya hela ya kodi ya pango ndio maana umepewa units 24.7?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Hapana Mwandishi alielewa wazi kabisa kwamba Mungu haishi katika mawingu. Alitumia mawingu kama kielelezo kufundisha mambo ya rohoni. Kumbuka kadamnasi yake ilikuwa haiwezi kuelewa kwa ufasaha mambo ya rohoni. Hivo kama mwandishi na mwalimu ilimpasa kutumia vielelezo kama mawingu, matunda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Nimekuuliza swali juu ya source ya mtu.. Umejibu haujui nini source yake Then kama hujui, naweza kusema pasipo shaka kwamba umekurupuka sana kujibrand ATHEIST kama kuna mambo kwako bado hayaeleweki. Yaani uko katika upande ambao bado una sintofahamu nyingi. Ungekuwa muungwana sana kubaki hapo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Yes kisichokuwepo katika upeo wa milango mitano ya fahamu. Uko sahihi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Maswali yote uliyouliza yana-stem up from this incorrect idealogy ya Mungu wa Mawinguni. So nimedeal na mzizi I hope it’s clear
Back
Top Bottom