Recent content by mand1312

  1. M

    Mashine ya juice ya miwa

    Natafuta machine ya juice ya miwa ya kutumia umeme. Nipo dar Mwenye nayo aje PM
  2. M

    Tender ya kusupply nyama ya nguruwe

    0713879793
  3. M

    Tender ya kusupply nyama ya nguruwe

    Habari ,kuna tender ya kusupply nyama ya nguruwe 300kg kila baada ya 2days at price 4500/kg moshi kilimanjaro Mtu yeyote mwenye uwezo kusupply kiasi icho au atleast 100kg anifwate pm
  4. M

    Nauza mahindi ya kuchoma

    Pana
  5. M

    Natafuta soko la mahindi ya kuchoma

    Nina mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma anayejua soko au mhitaj naomba anijulishe Kwa mawasiliano 0713879793/0766532505
  6. M

    Nauza mahindi ya kuchoma

    Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order . Kwa mawasiliano zaid 0713879793/ 0766532505
  7. M

    Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma

    Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Atakayehitaji tuwasiliane 0713879793 /0766532505
  8. M

    Nafasi za kazi Golden Restaurant

    Tayar washapatkana shukran wote mliojitokeza
  9. M

    Nafasi za kazi Golden Restaurant

    Natafuta vijana wa kazi Golden restaurant iliyopo kinondon B. Anahitajika kijana mmoja wa chips na wawili kwa ajili ya chakula. Mwenye uzoefu na kazi hii anichek 0713879793 or 0766532505 or 0653293829 Au aje Pm Karbun Kwa maelezo zaid njoo Pm au tuwasilianne kwenye namba izo
  10. M

    Wapi wanauza Mayai in Bulk?

    Nichek kama upo serious 0713879793
  11. M

    Fursa ujenzi Wa Bomba la mafuta

    Tuelimishane jinsi ya kupata na kunufaika na fursa za Hoima - Tanga pipeline Cheki link ya grup la wasap apo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom