Recent content by Manamtutu

  1. M

    CHADEMA wamkana Zitto

    Inashangazasana, kama wameshakamilisha kila kitu maneno ya nini sasa si wapeleke iliwaukamate uongo wa mwenyekiti wa PAC nakamati yake? Hapo kuna jambo zito mno mtakuja kulisikia tu,wanasema CCM ukoo wa mapanya wakati wao ndio mapanya buku kabisa wanakula nakumaliza mboga yote. Kama mtarejea...
  2. M

    Dr. Slaa: Uchaguzi CHADEMA utafanyika baada kuwa na chama imara

    CHADEMA NAUTAWALA WA KUNG’ANG’ANIA MADARAKA Chama hiki hakina tofauti na vyama vya kinaMrema Lyatonga na wengineo ambao wanadhani uenyekiti ni nafasi ya kudumu kwanimwenyekiti wake ana uchu mkubwa wa madaraka, anataka kugombea kwa kipindi chatatu sasa utadhani hakuna mtu mwingine ndani ya chama...
  3. M

    Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    Utakuwa unatumika tu wewe ila endelea wakati unakuja nao u karibu ambapo siasa majitaka itajibiwa kwa majitaka na ndipo aibu itawafunika mkose pa kukimbilia. Yote uliyoandika umelishwa na tutakusaidia kuyatapika wakati ukifika.
  4. M

    Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

    Nadhani yatakuwa yameanza kumkuta maana hakuna rafiki wa kudumu kwa Wanasiasa na tangu amalize kibarua chake muda umeshapita mrefu sidhani kama wanamhitaji tena. Ha ha haaaaaa
  5. M

    Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

    Ben sio msafi kama unavyohisi wewe. Ni chui ndani ya ngozi ya kondoo. Ni mtu hatari sanaa.
  6. M

    Wanachadema ni kweli mnajenga Chama ndani ya Chama??

    Nimekutana na Kada mmoja wa Chadema Jimbo la Ilala katika mazungumzo akanishangaza sana. Kuna ujenzi wa Chama ndani ya Chama unaofanywa kwa kitu kinaitwa CHADEMA Msingi. Anadai viongozi waliojenga Chama mpaka leo wanawekwa kando na hawashirikishwi kwenye jambo lolote. Ukihoji tu unaitwa...
Back
Top Bottom