Recent content by Man over woman

  1. M

    PreGE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    ungeziona endapo yeriko angejaribu na genge lake kumzuia lema kuingia eneo lile
  2. M

    PreGE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    Wewe Yeriko Unamuona ana akili Timamu kiasi cha kuamini maneno take hahahaha
  3. M

    PreGE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    Na hao wanaotolewa ukumbini Kunani kwenye uhakiki?
  4. M

    PreGE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    Ni ngumu reminds you Lema anapambana ili kutetea kauli yake ya FAM must Go
  5. M

    PreGE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    Kwa jicho pevuu huu uchaguzi una ngumi hapo baadae kama sahivi tu kwenye kuhakiki majina watu wanazozana hivi asbuhi wapiga kura walitangazwa kuwa906 kufikia sahivi idadi imepiga u turn ni1007 Mpaka matokeo kutangazwa jumla ya kura ni2000
  6. M

    PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Hivi haya madude anayosoma katibu ameshindwa kuandaa Inform of documentary ili kuokoa muda I display chap mambo mengine yaendelee au ndo kula muda hadi Giza liingie yatimie walotabiri watabiri
  7. M

    PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Kuna vituko Leo hapa Mlimani City Mnyika anatangaza kutumia jenereta hapo hapo umeme unamprove wrong kuwa Luna mzimaji wa umeme somewhere in the Building
  8. M

    PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Na imani kubwa haupo ukumbini make ukumbi umejazwa na Eneo kubwa alilotengewa Dj zaidi ya walipokaa wajumbe
  9. M

    PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Hahahahahahahah siasa ni mchezo mchafu wajumbe wanaweza kuzitupia kwake ili lissu na FAM wakafanye maridhiano ya namna ya kuendesha chama wakiwa pembeni
  10. M

    PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    N Shukran sana mkuu nimeweka nakuta Catherine Ruge anamaliza kuhojiwa na kasema wazi ni timu FAM
Back
Top Bottom