Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya peugeot 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi
Chombo ya mangi imelala inshitaji kuamshwa
Asante sana.
Habari za majukumu ndugu zangu nauliza wapi naweza kupata engine ya pegeout 504 sr saloon plus gear box yake used well mantained in a good condition na price niko moshi
Asante sana.
Unataka kuniambia bro nikicheza na rpm siwezi pata best fuel efficiency....isi vuke 1800 kwa speed ya 80 maximum kilimanjaro hakuna foleni kwa mizunguko yangu sio kati kati ya mji sana kwenda
Ina wezekana nadhani wengi hawajatumia gari zote ila unajua ukitoka kwenye suzuki escudo tena model ya 1990 gari za 2000 unaona zote sawa i mean io brevis na mark x.ila asante kwa ushauri
Wajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku
Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea kazini na mizunguko ya hapa na pale nimeshatumia suzuki escodo old model na starlet zote zilikuwa MT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.