SIMULIZI: SABABU NI KIFO CHAKO BABA!
(Kisa cha kweli cha kusisimua)
SEHEMU YA 16
MTUNZI: Man Middo Tz
ILIPOISHIA…………….Akaniambia kuwa “Subiri niongee nao wakurudishie” akaongea nao baadae akaniambia kuwa “Justin kakubali baadae twende ukupe” nikamwambia
“Da Matrona samahani lakini naomba...
SIMULIZI: ELIZA NA NDOA YANGU
SEHEMU YA 24
Na Man Middo tz
ILIPOISHIA………….akanza kunibembeleza akanikumbatia nikahisi msisimko wa kipekee toka niwe na Mudy hakuwahi hata kunikumbatia, lile kumbato la John lilinifanya nimiss aliyokua ananifanyia zamani nilijikuta nimeganda machozi yanatoka...
Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua.
Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE
Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini alibadilisha nguo zake haraka na kuelekea moja kwa moja katika jingo upasuaji.
Kufika katika lile jingo la...
STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO.
Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa
“Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
ELIZA NA NDOA YANGU
SEHEMU YA 23
Man Middo Tz
ILIPOISHIA..... Baadae wakamua kuwa
“Kutokana na sababu zenu ni za kitoto, sasa hakuna kuchana hapa sasa mnarudiana upya na maisha yaendelee”
Mimi nikakataa na Mudy pia akakataa, wazee wakasema
“Nyie mnajifikiria wenyewe hamumuwazi mtoto wenu...
My sister,
Mpenzi wako atakufanyia visa ili ukasirike hivi karibuni,
Lakini usije ukagombana nae, ni mtego huo.
Krismasi ipo karibu, dada.
Siri ya kambi
Msichana haijalishi ni mzuri kiasi gani ila hawezi kupokea sifa kutoka kwa kaka yake.
Huwa tunasema "Huna uzuri wowote wanakupamba tu hao wajinga wanaokutongoza uko"
Hapa Madam alijua lazima aingie kwenye mkoba zimtoke ili kujenga ushawishi kwa wajumbe. Ushindani ulikua mkubwa sana, safari za kata zote za Jimbo la K.W hazikuisha na pesa ilitoka balaa (si unajua wajumbe sio watu wazuri🤣🤣)
Basi katika masuala yote yaliyohitaji pesa ya haraka yalitatuliwa na...
Nimeiba namba za lishangazi zikaja kunitia aibu.
Mama mmoja kwa jina la Ms mwakalebela alimuelewa rafiki yangu Edga, huyu rafiki yangu alikua anauza duka moja maeneo ya Salasala ambako huyu mama ndio anakoishi.
Edga alikabidhiwa duka na boss mmoja kwa jina Atalu, huyu jamaa hakua wale maboss...
KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa”
SEHEMU YA NNE (04)
Man Middo
Ni yule yule waziri mkuu tena, Na hii ni Novemba 7 asubuhi katika uwanja wa kaitaba akiongoza uma wa watanzania kuaga mili ya wapendwa wetu 19 na kuwapa heshima za mwisho.
Ilikua simanzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.