Ukitaka kujua habari ya korosho tafuta siku wakati wa mavuno uje uchek utajua watu wanavuna VP ,maana hii kg 1500 hiki ni kiwango kidogo mno na kuna wakulima wanavuna siku moja uzito huo
Tuendelee kupeana moyo wa imani
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya korosho mzito yaani kwa sisi ambao tupo huku mtwara ndio tunaona hali halisi ya mazingira yalivyo ,maana wakati Kama huu watu tunachanua na wafanyabiashara wanaozungusha bidhaa mbali mbali kutoka maeneo tofauti ya Tanzania wanajaana mambo yanaenda
Kwa msimu huu hali ni tete na hatima...
Kuna babu yangu mmoja mashamba yake ghalama tu za kuandaa ili korosho iokotwe vizuri si chini ya milioni 10 na mwaka zikikubali anachuku zaidi ya gunia 600 , ukimwambia kuanzia gunia kumi na tano ukaguzi duu shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua hesabu utafahamu ukweli tafuta hesabu aliotoa waziri halafu zidisha tani zote walizokusanya upate thamani na kisha to a hesaba walizolipa utapata jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu ahsante mkuu shukrani sana maana watu wanatembea na upepo
Wakati mpaka sasa walizolipa hata nusu ya hesabu ulitoa hawajafika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute watu Majigambo yalivyo makubwa wakati kimahesabu ambayo walikadiria huko mwanzo walisema endapo korosho itakusanywa tani 200000. Basi kwahakika ni sawa na tsh 660 billion kwa bei iliyoko sokoni ambayo tumetangaziwa kununuliwa kwa korosho hizo
Pia Nina maliza wiki sasa sizionizile gali...
Kunawaka unaweza kuwaza ukashinda kupata majibu kwa watu wanajitambua anapofika wakati kumshutumu kila anatoa matazamo tofauti na uliotolewa na waziri
Yaanii hata ukirudi kuangalia hesabu utaelewa mfano wa kile kilicholipwa yawezekana hata nusu hatujafika hebu mtu atuletee hesabu ya malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.