Nani amekwambia Dodoma kuwa makao makuu ndio kuwa jiji kubwa kuliko Mwanza, au hujui imepewaje hadhi ya kuwa jiji, Wangefuata vigezo vya jiji Dodoma ingekuwa jiji?
Dodoma nimeishi kote huko nakujua vyema ila bado sijaona sehemu ya kulinganisha na Mwanza hapo, UDOM uloitaja yenyewe kuna miezi hakuna watu ni wakuhesabu, sasa jiji gani halina watu?
Narudia tena ukiondoa majengo ya serikali hakuna jipya hapo dodoma.
🤣🤣🤣🤣🤣, tena kijiji haswa Dodoma nimeishi na Mwanza nimeishi, hawa malimbukeni wanataka kuleta battle za hovyohovyo, Dodoma inatakiwa ibatle na akina arusha,tanga sababu hata mbeya bado Dodoma haiwezi ipata
Dodoma kwa magorofa gani
? Ukiondoa majengo ya serikali hamna lolote hapo dodoma.
Kwa mbeya ndio unyamaze kabisaa maana haina mpangilio wowote kuzidi mwanza, kiuchumi pia mwanza iko vizuri kuliko mbeya,
Arusha hakuna jipya kabisa,
Mwanza ni Jiji namba 2 ukiondoa dar es salaam ambayo ndio namba...
Ukiondoa dar, MWANZA inabakia kipimo Tosha kwa majiji na miji yote iliobaki, usishangae hawa jamaa kujaribu kulinganisha ingawa mimi naona Mwanza is the best.
Habarini hope mko poa, ningependa niwatie moyo wenzangu ambao bado hamjafanikiwa kupata ajira kuwa wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nimefuatilia uzi huu uzi tangu mwaka 2022 nikiwa sina ajira ila kupitia shuhuda za wadau humu nikajitia moyo kuwa namimi nitatoboa, mwaka 2023 nikafanikiwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.