Recent content by Man from space

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Nielekeze kiongozi maana kiukweli nimekwama nijue njia ya kutokea maana .kwa sababu niliwaza ingekuwa rahisi kubadilishiwa muundo ili niendelee na degree kwa upande Wa maabara lakini inanilazimu kuanza kuisaka degree ya elmu ili muundo ubadilike
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Nilitarajia mwakani nikaombe kwenda masomoni kwa bachelor of science with education kwa sababu imeshindikana kubadilishiwa muundo lakini ikaibuka figisu kiongozi wangu akaniambia ameambiwa asipitishe barua mpaka miaka mitano nikabaki njia panda ndo nikaanza kuwaza kivingine
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Ni kweli lakini figisu zimekuwa nyingi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Mimi nilianza kuajiriwa kwa Cheti Cha ualimu nikajiendeleza kwenye laboratory science and technology kwania ya kuhamia secondary kama lab technician lakini naona imekuwa ngumu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Wameniambia nitulie Kuna upungufu Wa waalimu na secondary hakuna nafasi ya lab technician ikipatikana watanijulidsha nikapiga mahesabu nikaona hakuna uhakika itapatikana lini nikaomba kwenda kujiendeleza kwa ngazi ya degree kwenye hiyo kozi ya maabara IKAWA huu ndo mwaka Wa tatu baada ya kurudi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Kwa open university hawaruhusu mtu aliye soma diploma ya maabara kusoma degree ya elimu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Kwenye prospectus ya mwaka huu haipo . Lakini nimewasiliana nao wakasema kozi ipo kwahiyo yawezekana wamesahau kuiweka kwenye list
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Sawa ni matatizo kidogo ya kiuandishi nitarekebisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Kilichotokea nilienda kusoma diploma ya maabara nikitarajia nikipelekwa secondary nitajiendeleza kwenye ngazi ya degree lakini kubadilishiwa muundo imekuwa ngumu nikaona kuliko.kupoteza muda niingie open
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa...
Back
Top Bottom