Vijana ni wengi sana mtaani tangia 2015 kumbuka hawa wamesomeshwa kwa kuungaunga na wazazi wao serikali Ione umuhimu wa kuwapa ajira at least Kila mwaka zitoke ajira 50000 kingine hao Wana hoja zao zipo mezani ni suala la serikali kutekeleza au kukataa hoja zao
Hakuna mwenye akili hata mmoja atakubali ujinga huu wa chawa wa Mwenyekiti wa kudumu miaka zaidi ya 20 eti hakuna anayefaa na bado mnataka tuendelee kuwaamini mnashindwa ht na ACT ZItto kaachia madaraka nyie walaaaa mnataka hd mwenyekiti afie madarakani km Mrema
Tatizo hawa chawa wa mwenyekiti wanadhani Lissu hana wapambe wanajidanganya Lissu ni heavy weight siku pambalu akiongea siku heche akiongea sijui mtaficha wapi sura zenu nawahakikishia Lissu sio Mwambe na hv hapo chadema Ina maana hakuna mtu mwingine anayefaa kuwa mwenyekiti zaidi ya Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.