Recent content by Man chai iko bella

  1. M

    Wakuu nimeamka asubuhi ya leo ghafla nimewaza kumrudia Mungu

    Mungu akusaidie mana hakuna awezae kwenda kwake asipovutwa na yeye. Mfuate Mungu kanisani sio watu walioko kanisan utakua umefanya kosa sana. Mungu atakutumia kama alivokuita mkuu.
  2. M

    Wakuu nimeamka asubuhi ya leo ghafla nimewaza kumrudia Mungu

    Amen, uamuzi wa wajanja huo tena ni wachche wanaomanisha. Kama umeamua mfuate Mungu huko church na sio watu walioko. Atakusaidia sana.
  3. M

    Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

    Mungu akupe wepesi wa hitaji LA moyo wako.
Back
Top Bottom