Recent content by mamy bright

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung S3 4G LTE by T-Mobile

    Weka picha tuione
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa waliozaa kabla ya ndoa

    Hakuna mwanamke anayeza kuishi na mtoto ambaye cyo wake huyo mtoto kama hatateswa basi huyo mama wa kambo hatamlea vzr maana hatajali maendeleo ya mtoto ktk kukuwa vema
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa Imejaa wanawake wema wambao sio waaminifu kwenye ndoa zao.....

    Haaaaaaaaaaaa haaaaaa asante kwa summary
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Hakuna tatizo Dada Mimi wangu anamiezi minne kuna muda anakaa hadi cku 10 hajapata choo.nimeshampeleka hospital doctor akasema hakuna tatizo nijambo la kawaida maziwa anayonyonya yote anajenga mwili so hakuna mabaki ya kutoka kama uchafu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada doctor

    Ninamtoto ana miezi minne halafu nimeconcive tena.naomba ushauri je mtoto anaweza pata madhara
Back
Top Bottom