Recent content by Mamujee

  1. Mamujee

    Waislam tumefeli kwenye hili tu, tubadilike

    Wewe ndio huelewi. Nimekuambia waislam tumeamrishwa kusoma (maelezo yako yanathibitisha kutolijua hilo). Sasa kama wewe kweli ni Muislam ulipashwa kulijua hili kwanza. Pili kama hujui jambo, utawezaje kutoa ushauri kuhusu hilo jambo? Tafakari
  2. Mamujee

    Waislam tumefeli kwenye hili tu, tubadilike

    Badilika kwanza wewe mwenyewe. Nani kakwambia kwamba waislam hawatafuti elimu. Kutafuta elimu popote ilipo hiyo ni Amri kwa waislam, eti Leo wewe unawashauri watafute elimu. Halafu unajiita Muislam, unachekesha sana
  3. Mamujee

    Maandamano Mahakama Kisutu, Watu wamevalia Kanzu na Hijabu

    Kweli wewe ni muoga, japokuwa ni mchokozi. Hata lugha unayodai kuwa ni yako huijui, sasa lugha ya wengine utaijuaje
  4. Mamujee

    Mnaowalaani Al Shabab, mnajua wanachofanyiwa Wasomali kwenye nchi yao na askari wa Kenya?

    Ukiona mtu anatukana ujue kashindwa hoja. Mimi sio konde, umerudia Mara nyingi sana hili tusi, basi KONDE NI MAMA YAKO
  5. Mamujee

    Mnaowalaani Al Shabab, mnajua wanachofanyiwa Wasomali kwenye nchi yao na askari wa Kenya?

    Usijibaraguze, unazungumzia usiyoyajua. Hata povu likutoke umeshajulikana
  6. Mamujee

    Je maisha katika dunia yanaweza kuendelea kuwepo kwa muda gani jua likizima?

    Mimea haitoweza kukua, mambo ya photosynthesis yatakwama. Bila mimea sijui itakuwaje, maana chakula hakitokuwezo. Yawezekana ikiwa ndio mwisho wa maisha katika dunia
  7. Mamujee

    MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    Pole sana. Hongera kwa kunusurika. Mwenyezimungu akuvue hili na jengine
  8. Mamujee

    Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

    Namzungumzia Julius kambarage
  9. Mamujee

    Mahakama ya kadhi kuanza hivi karibuni

    Hayo Maneno ungemwambia Nyerere aliyewabeba na kuwadekeza mpaka mkajisahau na kudhani kila kitu ni haki yenu. Halafu huyo Nyerere aling'atuka na kuiacha vipi nchi
Back
Top Bottom